Challenge:

Graffiti Challenge

Makazi yanayohimili misukosuko

Victor Haroun


Title

Makazi yanayohimili misukosuko

Name: Artist/Group

Victor haroun

Describe your idea (200 Words)

Kutokana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya watu katika eneo la jangwani ilikuwa ni 15722 lakini kufikia mwaka 2016 katika daftari la kudumu la mpiga kura ni watu 22098.ongezeko linapotokea ni muhimu pia kuboresha miundombinu ili ibebe idadi husika. Walengwa wa programu hii na mchoro nitakaouleta ni wakazi wa daressalaam hasa eneo la jangwani ambalo limekuwa na mafuriko mara nyingi.mchoro huu wa barabara ya morogoro ambayo hupita watu 250000 kila siku utaleta elimu kwa jamii. Wadau wa mradi huu ambao ni muhimu kwa maisha ya wahusika ni serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali,utasaidia kuboresha mazingira,maendeleo na uchumi wa jamii husika,na kufanya mazingira yale yaweze kubeba idadi husika ili mji uweze kukabiliana na maafa yanayokuja yani stahmala. Kwa kupitia sanaa hii napenda kushawishi uboreshwaj wa maisha ya watu wa jangwani ambayo itasaidia ukuaji wa uchumi wao na nchi kwa ujumla. Witu wangu ni kuwa tujenge makazi sahihi na miundombinu bora kama itavyoonekana kwa mchoro huu. Kinachonivutia kufanya programu hii ya mchoro ni namna ndoto yangu ya sanaa hii kuisaidia maisha ya mtanzania ilivojaa ndani yangu toka mwanzo

Project Tagline

Sanaa inaishi bado

Videos

Comments

  • ISACK AMINI15th, August 2018

    Thats is amazing bro.....keep up the spirit.