Challenge:

Graffiti Challenge

Afya kwa Jamii endelevu

Fetty Msengi


Title

Afya kwa Jamii endelevu

Name: Artist/Group

Fetty Msengi

Describe your idea (200 Words)

Jiji la dar es salaam, linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu ukilinganisha na majiji mengine. Hata hivyo, makadilio ya idadi ya watu katika mkoa huo mwaka 2016 ilikadiliwa kuwa na watu 5,465,420.kutokana na idadi hiyo wanaume walikuwa 2,661,979, na wanawake 2,803,442, makadilio haya yanatokan na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 kwa kutumia mbinu za kidemografia zinazohusisha mabadiliko katika viwango vya uzazi, vifo,uhamiaji na uhamiaji katika ngazi ya taifa, mkoa na wilaya husika. Ili jamii kuwa na afya stahmili yapaswa kuwa na miundombinu bora ili kuweza kupunguza majanga ambayo yanaweza kusababisha vipindupindu, magongwa ya kuhara, na vifo visivyo visivyotalajiwa. Ili kuweza kufanikisha ningependa kuihusisha, serikali, asasi zisizo za kiserikali mashirika ya kimataifa, watu binafsi na kushirikiana vyema na wasanii. Afya bora huanza na sisi kwa pamoja tuokoe janga hili na kulinda vizazi vijavyo, jamani kiujumla hili janga linaumiza na linapoteza matumaini na kukatisha ndoto za watu wengi sana,

Project Tagline

Afya kwa Jamii endelevu

Comments