Challenge:

Graffiti Challenge

Healthy community

timothy magoma


Title

Healthy community

Name: Artist/Group

Timothy Magoma

Describe your idea (200 Words)

Vyanzo vya maji salama huleta jamii yenye afya bora. Hii ni kwa kuzuia mito inayofurika kwa kuotesha miti. Ifuatayo ni taarifa kuhusu mito kama msimbazi, jangwani na mengine; Mito kama mto msimbazi huleta athari kwa watu waishio karibu, kwa kutoa harufu mbaya na kuchangia kusambaza magonjwa ya mlipuko kama; kipindupindu na ugonjwa was kuhara. Kutokana na hii jeshi la polisi limekaririwa kupatikana vifo saba na wagonjwa kadhaa kutoka eneo hilo. Wadhamini pamoja na wadau wa mazingira wanatakiwa kutoa elimu namna ya kutunza mazingira na kutuwezesha kifedha kuweza kurekebisha maeneo hayo. Pia watu waishio karibu mazingira karibu na mito wanatakiwa waache kutupa takataka ovyo kujifunza kutafta njia nzuri ya kupunguza uchafuzi wa mito na kupanda miti. Kwa ujumla tukitunza na kupanda miti inawe zekana tukaweza kufanya shughuli tofauti kwenye maeneo hayo kama vile; uvuvi na hata utalii na kuweza kuwafaidisha wakazi wa Dar-es-salaam.

Project Tagline

Yes, we can.

Comments