Challenge:

Graffiti Challenge

MAKAZI SALAMA

jackson fredy


Title

MAKAZI SALAMA

Name: Artist/Group

JACKSON FREDY

Describe your idea (200 Words)

Sanaa yangu inalenga miundombinu bora kwa wakazi wa eneo la Jangwani lililopo manispaa ya Ilala, Mkoa wa Dar es salaam. Kutokana na Sensa ya Mwaka 2002 idadi ya wakazi wa eneo hili ilikuwa 15,722 ambapo waliokuwa na leseni za makazi ni wananchi 500 huku asilimia 80 ya wakazi wa jangwani wanaishi katika eneo lisilopimwa. Lengo la mchoro huu ni kuwafikia wakazi wote wa Dar_es_salaam, mchoro huu utapatikana katika kuta zilizopo maeneo ya Jangwani barabara ya Morogro , ambayo hupitiwa na wakazi wasio pungua 250,000 kwa siku hivyo walegwa watafaidika. Wadau wafuatao wakishirikishwa watafanya eneo la Jangwani kuwa makazi bora na salama kwa wananchi wote,wadau hao ni. Wsanii, Watu binafsi, Asasi za kiserikali na zisizo za kiserikali, mashirika yakimataifa na wanafunzi. Kutokana na sanaa yangu nategemeakuona eneo la Jangwani linabadilika, na kuwa makazi bora kwa wananchi wote wa eneo hilo. Wito wangu ni makazi sahihi kwa miundombinu bora. Naumia kuona wakazi wa Jangwani na wanao tumia barabara yamorogoro wanavyopata shida kwa kusitsha shughur zao kutokana na mafurko.

Project Tagline

MAKAZI SAHIHI KWA MIUNDOMBINU BORA

Comments