Challenge:

Graffiti Challenge

Miundo mbinu bora

Brenda Kibakaya


Title

Miundo mbinu bora

Name: Artist/Group

Brenda Rodgers Kibakaya

Describe your idea (200 Words)

Miundo mbinu inahusu vifaa,msingi na mifumo ya kutumikia nchi,mji au mkoa ili uchumi wake,biashara zilizomo uweze kufanya kazi inavyostahili.haya yote yanaweza kutokea ikiwa miundo mbinu ,uratibu makini na wa kisasa kwa jiji la Dar es Salaam utaweza kufanyika .kwa wakati,kwani bado miundo mbinu bora ni changamoto kutegemena na hali mbalimbali za kimazingira ,watu na hata hali ya hewa. Imani bado ipo kwa kuwa na miundo mindu bora na ya kisasa,jamii yenye afya bora na hata mifumo inayifanya kazi kwa uhakika zaidi katika jiji letu.kwa kuangalia eneo la jangwani haya yanaweza kufanyika kwa nafasi kubwa ilikuweza kufanya iwe eneo bora na lenye umuhimu kwa watanzania kwa ujumla wao. Haya yanaweza kutekelezwa kwa kutumia walengwa au wahusika mbalimbali hasa serikali,asasi za kijamii na wanachi kwa ujumla ,

Project Tagline

Miundo mbinu bora na salama kwa maendeleo yako

Comments