Challenge:

Graffiti Challenge

makazi salama

Abuubakari Chikoyo


Title

makazi salama

Name: Artist/Group

Abuubakari chikoyo

Describe your idea (200 Words)

Taafa - Kilamwadamu anahaki ya kuishi katika makazi salama . Hili kuepukana na maafa yanayotokana na mabadiliko mbalimbali ya nchi hususani mafuliko. Mafuliko hotokana na ujenzi wa makazi olela na kutokua na miundombinu bora. Napindi mafuliko yanapotokea husababisha maafa makubwa na maafa hayo uwahasili kwakiasi kikubwa has a wakazi wa mabondeni. Mnamo 11 - may - 2015 mvua kubwa zilizonyesha kwasiku 3 mfululizo katika jiji LA Dar es salaam zilisababisha maafa makubwa hasa kwa wakazi wa jangwani. Zilihalibu makazi na mali zawatu na wengi kuumia na hatawengine kupoteza maisha. Kutokana na taalifa iliopo hapo juu mlengwa ni mkazi wa mabondeni. Hili kuepukana na majanga haya inatakiwa - jamii kuamakini kabda ya kuuziwa au kununua eneo akikisha kua ni sehemu salama na inafaa kwa makazi, hushilikiano wa jamii naserikali na taasisi mbalimbali zinazo husika na na mambo ya alizi. Suluhisho la kuweza kuepuka janga hili ni - kubolssha miundombinu kama vile - kutengeneza balabala bola zenye mitalo mikubwa yenyekupitisha majitaka na kuwepo na madalaja au makalavati katika sehemu zenye uvukaji washida kipindi chamvua kubwa. Kutokana na mafuliko yanayotokea katika jiji la Dar es salaam na kusababisha hasali kubwa kama vile - kuongezeka kwaumasikini kwawatu waliokumbwa na maafa kutokana na kupoteza Mali zao. Hivyobasi naiyomba serikali na jamii kwa ujumla tushikiane katika kutokomeza janga hili.

Project Tagline

Makazi salama kwa kila Mtanzania

Comments