Challenge:

Graffiti Challenge

MAKAZI SALAMA

Ochu boo Modelz


Title

MAKAZI SALAMA

Name: Artist/Group

Ochu boo Modelz

Describe your idea (200 Words)

Natamani Natamani Natamani yaani sanaa yangu inalenga makazi salama. Makadirio ya idadi ya watu inafkia wakazi takribani 20000 kwa muujibu wa sesa mwaka 2015 kupitia daftari la mpiga kura. Takwimu Nazi zinaelezea wakazi wapatao 5000 tu ndio wanamiliki leseni ya makazi. Kutokana na uchambuzi wa taarifa za sensa ya watu na makazi mwaka 2002 jangwani inakadiriwa kua na wakazi wapatao 11795 kwa muujibu wa ofisi ya taiga ya takwim wizara ya fedha na uchumi Dar. Hivyo ukuta uliopo maeneo ya jangwani (Morogoro road) ndio njia yangu pekee yakufikisha ujumbe wangu sahihi kwa wakazi wa jangwani na Dar kiujumla. Maana takribani watu 250000 wanaotembea kwa miguu huitumia barabara hiyo na wengine wengi wakitumia vyombo vya usafiri. Serikali maana ndio watekelezaji wakuu wa miradi,wasanii,wafanyabiashara,mashirika ya kimataifa,asasi zisizo za kiserikali nakadhalika wangetoa mchango wa kimawazo ima kifedha. Natamani kuyaona makazi salama kwa wakazi wa jangwani. Watoto wadogo wanafunzi na wakazi wanapata tabu sana kipindi cha mafuriko. Natamani kuwe kabisa sehem nzuri kama parks(wapate upepo) viwanja vya michezo,mabwawa ya samaki,barabara za juu ili maji yaishi salama na wakazi waishi salama,barabara zenye mfumo wa kupitisha maji taka kwenye njia zake. Kungelikua na green nzuri (miti) kwaajili ya hewa mwanana. Mji stahmala wenye kijani na makazi salama. Natamani !! Natamani!! Natamani!! Tuanze sasa Mimi wewe na yule.

Project Tagline

Idadi sahihi kwa makazi sahihi

Videos

Comments