Challenge:

Graffiti Challenge

MAZINGIRA SAFI NA SALAMA

Nicodemus Zebedayo


Title

MAZINGIRA SAFI NA SALAMA

Name: Artist/Group

Nicodemus Zebedayo

Describe your idea (200 Words)

Kutokana na takwimu zilizotolewa na tume ya taifa ya takwimu Dar es salaam wanaishi kwenye makazi yasiyo rasmi(Mabondeni na sehemu zisizo pimwa) hii hupelekea ujenzi holela na miundo mbinu isiyo bora ambao huzaa vifo pindi yatokeapo majanga kama mafuriko. Kupitia mchoro wangu nalenga kuwakumbusha wanajamii was Dar es salaam madhara ya ujenzi holela usiofata taratibu za mipango miji,pia naikumbusha serikali kusimamia sheria zake na asasi zisizo za kiserikali na mashirika ya kimataifa kuungana pamoja katika kukabiliana na tatzo hili.

Project Tagline

MAKAZI SALAMA KWA MAISHA ENDELEVU

Comments