Challenge:

Graffiti Challenge

Mazingila safi na salama

Ashley jafari


Title

Mazingila safi na salama

Name: Artist/Group

Jafari Yusuf

Describe your idea (200 Words)

Kila mwaka huwa watu hufaliki na kipindupindu na maralia,magonjwa mwengine.kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi wakati mwengine hari hubadilika hutegemea na hali yenyewe.Hapa hutegemea eneo au mahali husika hupotea nuhu ya chanzo kizima cha husika,mazingila hulela hutokea pale mji huwa si salama hapa hupatikana miundombinu mibovu kwa mfano.ukiangalia mifereji inayopatikana kwenye vitongoji mbalimbali ukiangalia maeneo ya kijitonyama,tandale,magomeni hii ni moja maeneo hatarishi zaidi na upelekea mifereji hupelekea maji machafu hadi kwenye kando za MTO msimbazi,Jiji la dar es salaam ambalo ndiyo kitovu cha biashala Tanzania limekadiliwa kuwa na idadi ya watu 5,465,420 ambayo wanaume 2,661,919 wanawake 2,803,442 idadi ambayo ni kubwa ukilinganisha na majiji mwengine afrika mashariki.

Project Tagline

Mazingila ni maisha

Comments