Challenge:

Graffiti Challenge

MAZINGIRA SAFI NA SALAMA

Colins Mwanjwango


Title

MAZINGIRA SAFI NA SALAMA

Name: Artist/Group

GERRARD ARTIST

Describe your idea (200 Words)

DAR ES SALAAM : Ni mji ambao unakumbwa na janga kubwa sana la UCHAFU WA MAZINGIRA. Ili kulinusuru jiji hili ni lazima kwanza tudhibiti vyanzo vya uzarishaji wa taka. Ambavyo ni; (1) MASHAMBANI (2) VIWANJA NI (3) MTU MMOJA MMOJA (1)-MASHAMBANI -Serikalini inapaswa itoe Elimu juu ya wakulima wanaotoa mazao yao shambani kuja kuyauza mjini, kabla ya kuyaleta mjini inapaswa yaandaliwe vizuri katika hali ambayo inaweza kupunguza uzarishaji wa taka, Mfano; Badala ya mkulima kuleta mkungu mzima wa Ndizi anaweza akachambua Ndizi pekee na akabebea katika tenga (2)VIWANDANI -Upande wa viwanda serikali inapaswa ihamasishe kutengeneza vifungashio ambavyo vinawezekana kupoteza au kurudishwa tena kiwandani kama malighafi kutengeneza bidhaa nyingine. (3)MTU MMOJA MMOJA -inapaswa liwe jukumu la mtu mmoja mmoja kuitunza taka sehemu husika na ikiwezekana kujiepusha na bidhaa zinazo dumu kwa muda mfupi. NB: Serikali inapaswa kuwa na nyenzo muhimu za kufanyia usafi katika jiji letu, kama vile magari ya kubebea taka na vyombo maalumu kwaajili ya kuhifadhia taka mitaani (Dustbin) Pia serikali itumie fulsa hii kuipatia kipato nchi yetu kwa kujenga viwanda vya kisasa sehemu zile wanako hifadhi zile taka ili wananchi wanufaike kwa kupata mbolea nzuri, nishati ya umeme na gesi. ASANTENI SANA. BY PATRICK GERRALD SIMU 0765 295 608.

Project Tagline

KUWEKA JIJI SAFI

Comments